Posts

Showing posts from October, 2019

FAHAMU JINSI PUNYETO INAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME NA NJIA ZA KUONDOA ATHARI HIZO.

Image
Kama wewe upo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii utakuwa umeshaona jinsi magroup ya mambo ya picha za uchi na video za ngono yalivyo mengi kuanzia instagram facebook na WhatsApp. Washiriki wengi ni wanaume hasa vijana, na tafiti mbali mbali zinaonyesha kuwa wanaathiriwa sana na picha hizo na kuchochewa kujichua (kupiga punyeto) ili kumaliza hamu zinazoamshwa na hisia kali za ngono baada ya kutazama picha hizo na vidoe hizo. Wengi wao hawafahamu namna gani suala hilo (masturbation) linavyoweza kuathiri afyaya uzazi hasa nguvu za kiume. Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Of course ipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume. Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi ya kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye  mishipa itumikayo  kusafirisha damu  m